Pilikapilika za kuvuna ngano Xinjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2022
Pilikapilika za kuvuna ngano Xinjiang
Juni 27, 2022, mashine za kuvuna ngano zikifanya kazi katika Kijiji cha Xiaotuguli cha Mji wa Ershilidian wa Wilaya ya Hutubi ya Eneo linalojiendesha la Wahui la Changji.

Hivi sasa, ngano zimeiva mfululizo katika Wilaya ya Hutubi ya Eneo linalojiendesha la Wahui la Changji la Mkoa wa Xinjiang, na wakulima wanaharakisha kazi ya kuvuna ili kuhakikisha nafaka zote zinaweka kwenye ghala kwa wakati . (Picha na Ma Guangyuan/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha