Tamasha la mashindano ya mbio za ng'ombe lafanyika Chonburi, Thailand

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2022
Tamasha la mashindano ya mbio za ng'ombe lafanyika Chonburi, Thailand

Washiriki wakipanda nyati kushiriki kwenye mashindano katika Mkoa wa Chonburi, Thailand Juni 26. Mkoa wa Chonburi ulifanya mashindano ya mbio za ng'ombe siku hiyo ili kuonyesha utamaduni wa jadi wa kilimo wa eneo hilo. (Picha na Lachen /XINHUA)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha