Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu latoa bidhaa za kiutamaduni za sanamu ya shaba ya farasi ya kikale (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2022
Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu latoa bidhaa za kiutamaduni za sanamu ya shaba ya farasi ya kikale
Tarehe 28, Juni, 2022, bidhaa za kumbukumbu zenye sura ya sanamu ya shaba ya farasi ya kale zikionekana kwenye duka ndani ya Jumba la Makumbusho la Mkoa wa Gansu huko Lanzhou, Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha