Kambi ya Majira ya Joto kwenye kambi ya wakimbizi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2022
Kambi ya Majira ya Joto kwenye kambi ya wakimbizi
Juni 27 watoto wakishiriki kwenye shughuli ya kambi ya majira ya joto katika kambi ya wakimbizi ya Jabaliya katika ukanda wa Gaza.

Shirika la Umoja wa Mataifa lilianzisha shughuli ya kambi ya majira ya joto katika ukanda wa Gaza na kufanya shughuli mbalimbali za michezo ili kuwasaidia watoto kuondoa matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita na migogoro. (Picha na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha