Msichana anayejikita katika kufuma vifungo vya nguo vya jadi vya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2022
Msichana anayejikita katika kufuma vifungo vya nguo vya jadi vya China
Tarehe 3, Julai, 2022, Xu Dongfang akifuma kifungo cha nguo cha jadi cha China huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian wa China. (Picha/ChinaNews)

Xu alianza kujifunza ufundi wa kufuma kwa mikono kifungo cha nguo cha jadi cha China, na alianzisha studio yake mwaka 2014.

Vifungo vya nguo ni sifa muhimu ya mapambo kwenye nguo za jadi za China. Kwa kawaida vifungo hivyo vya nguo vinafumwa kwa nyuzi za pamba, na vinatumika zaidi katika nguo za jadi za China, kama vile Qipao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha