“Mwezi mpevu mkubwa zaidi” wa mwaka huu waonekana mbinguni (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2022
“Mwezi mpevu mkubwa zaidi” wa mwaka huu waonekana mbinguni
(Picha inapigwa na Weng Qiyu/People's Daily Online)

Asubuhi mapema ya Julai 14, “mwezi mpevu mkubwa zaidi” wa mwaka huu ulionekana mbinguni. Huo ni mwezi mkubwa zaidi wa mwaka 2022. Picha hizi za mwezi zilipigwa kutoka sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha