Mandhari nzuri kama picha iliyochorwa ya Mbuga wa Hulunbuir wa Mongolia ya Ndani katika majira ya joto (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022
Mandhari nzuri kama picha iliyochorwa ya Mbuga wa Hulunbuir wa Mongolia ya Ndani katika majira ya joto

Baada ya kuingia katika majira ya joto, mandhari ya mbuga wa Hulunbuir wa Mongolia ya Ndani ni ya kupendeza sana kama picha iliyochorwa, na inawavutia watalii wengi kwenda huko kutembelea.

Mfumo wa shughuli za utalii wa ikolojia unaokamilika siku hadi siku umetoa mazingira mazuri kwa watalii pia umesaidia wafugaji wa huko wapate mapato zaidi. (Mpiga picha: Lv Haojun)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha