

Lugha Nyingine
Kuangalia kutoka angani Barabara ya Utalii ya Mzunguko wa Kisiwa cha Hainan (4)
![]() |
Ujenzi wa Barabara ya Utalii ya Mzunguko wa Kisiwa cha Hainan ulifanyika kuanzia Desemba 31, 2020, ambao ni mradi mkubwa wa majaribio wa miundombinu ya Bandari ya Biashara Huria ya Hainan na kutarajiwa kuzinduliwa kabla ya mwisho wa Mwaka 2023. Urefu wake wa jumla ni kilomita 988.2, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, miji na wilaya 12 za pwani kama vile Haikou, Qionghai na Sanya na Ukanda wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Yangpu vitapitiwa na barabara hiyo, ambapo ghuba maalum, miji midogo maalum, vivutio vya utalii na hoteli za pwani vyote vitapitiwa.
Hadi Julai 20, 2022, uwekezaji katika mradi wa Barabara ya Utalii ya Mzunguko wa Kisiwa cha Hainan umefikia yuani bilioni 7.814, ambao umechukua asilimia 54.3 ya uwekezaji kwenye bajeti wa yuani bilioni 14.39. (Mpiga picha: Guo Cheng/Xinhua)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma