Mandhari ya kupendeza ya Ziwa Yamdrok katika majira ya joto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2022
Mandhari ya kupendeza ya Ziwa Yamdrok katika majira ya joto
Picha hii iliyopigwa Julai 24 ikionesha mandhari ya Ziwa Yamdrok katika Wilaya ya Langkazi ya Mji wa Shannan, Mkoa wa Tibet, China. (Picha na simu)

Ziwa Yamdrok, maana ya jina hili la ziwa katika Lugha ya Kitibeti ni ziwa la jade safi ya kijan. Katika majira ya joto, hali ya hewa kwenye eneo la ziwa hilo ni nzuri, na mandhari ya huko inapendeza sana. (Mpiga picha: Shen Hongbing)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha