Maonesho ya boti katika Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2022
Maonesho ya boti katika Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Picha iliyopigwa kutoka angani Julai 26, 2022 ikionyesha boti zinazooneshwa katika Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China. (Xinhua/Yang Guanyu)

Kuanzia tarehe 26 hadi 30 Julai, Maonesho ya boti kwenye Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yalifanyika katika Mji wa Haikou. Eneo la jumla la Maonesho hayo ni mita za mraba 180,000, na kuna majumba manne yenye mada za kitaifa, yaani Jumba la Uholanzi, Jumba la Marekani, Jumba la Italia na Jumba la Ujerumani, ambayo yamevutia boti zaidi ya 200 kushiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha