Pilikapilika za ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2022
Pilikapilika za ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun

Juzijuzi, reli ya mwendo kasi ya Haerbin-Yichun inayopita eneo la udongo barafu imekamilika ujenzi wa mradi wa msingi wa rundo la daraja kutoka Tieli hadi Yichun, na reli nzima itaingia kwenye hatua ya ujenzi wa kuweka boriti.

Reli ya Mwendo kasi ya Haerbin-Yichun inatoka Mji wa Haerbin, na kupita Mji wa Suihua na mwisho kufika Mji wa Yichun, urefu wake ni kilomita 300 hivi ambayo ni reli ya mwendo kasi inayoweka mkazo katika uwezo wa mtandao wa barabara na uwezo wa usarifi wa mijini, pamoja na shughuli za utalii. (Mpiga picha: Zhang Tao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha