Vito vyang’arisha Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022
Vito vyang’arisha Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Mapambo ya jade yenye thamani ya Yuan milioni 300 yakionekana kwenye Jumba la Pili la Maonesho ya kimataifa ya Bidhaa za Matumini ya China Tarehe 26, Julai.

Maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yanafanyika huko Haikou, China. Vito vyenye thamani kubwa kutoka sehemu mbalimbali duniani vinavyong’arisha maonesho vikivutia macho ya watembeleaji. Kampuni nyingi za vito vinaonesha vito vya aina mpya au vito vyao vyenye thamani kubwa vinavyohifadhiwa nazo, ambavyo vimewashangaza watembeleaji. (Picha zilitolewa na waandalizi wa Maonesho ya Kimataifa ya China ya Bidhaa za Matumizi)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha