Utoaji wa rasilimali za maji wa Sanjiangyuan wazidi mita za ujazo bilioni 68 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2022
Utoaji wa rasilimali za maji wa Sanjiangyuan wazidi mita za ujazo bilioni 68
Picha hii iliyopigwa Julai 26 ikionesha hali ya sehemu moja ya eneo la chanzo cha Mto Changjiang. (Picha na droni)

Watafiti wa chanzo cha Mto Changjiang walijulisha kuwa kutokana na athari za joto na unyevu kuongezeka, wastani wa utoaji wa kila mwaka wa rasilimali za maji za eneo la Sanjiangyuan katika miaka mitano iliyopita ulifika mita za ujazo bilioni 68.542, na umeongezeka kwa asilimia 38 kuliko ule wa mwaka 1956 hadi mwaka 2000. (Mpiga picha: Xiao Yijiu/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha