

Lugha Nyingine
Utumiaji wa maji yaliyotokea wakati wa kuchimba madini huko Yuyang, Shaanxi (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2022
![]() |
Bwawa la kuhifadhi maji la Xiyao (Picha ilipigwa tarehe 30, Julai). Hii ni sehemu ya mradi wa utumiaji wa mseto wa maji yaliyotoka kwenye migodi ya makaa ya mawe katika eneo la migodi la Yushen. |
Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yuyang la Mji wa Yulin wa Mkoa wa Shaanxi lilianzisha ujenzi wa mradi wa utumiaji wa mseto wa maji yaliyotoka kwenye migodi ya makaa ya mawe. Walitumia maji hayo kwa ajili ya ujenzi wa mazingira ya asili, umwagiliaji wa mashamba ya kilimo, kutatua matatizo ya upungufu wa maji kwa maisha na uzalishaji, pamoja na kutatua matatizo ya uchafuzi wa mazingira kutokana na utoaji wa maji taka kutoka kwenye migodi ya makaa ya mawe.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma