

Lugha Nyingine
Mbio za ngalawa za dragon katika majira ya joto
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2022
![]() |
Agosti 3, timu za ngalawa za Dragon zikishiriki kwenye mbio za ngalawa za Dragon kwenye Mto Gongshui katika wilaya ya Xuanen. |
Agosti 3, katika maeneo ya vivutio ya Xianshan Gongshui ya Wilaya ya Xuanen ya Mkoa wa Hubei, timu zaidi ya 40 za ngalawa za Dragon kutoka mikoa mbalimbali ya Hubei, Guangdong, Jiangxi na Chongqing zilishiriki katika mbio kwenye mto na kuwavutia watalii wengi kutazama.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma