Idadi ya watalii yaongezeka wakati wa likizo ya majira ya joto Chishui, Guizhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2022
Idadi ya watalii yaongezeka wakati wa likizo ya majira ya joto Chishui, Guizhou
Agosti 3,watalii wakitembelea katika maporomoko ya maji ya eneo la vivutio la Danxia la Mji wa Chishui.

Kadiri likizo ya majira ya joto linavyowadia, ndivyo idadi ya watalii inavyongezeka dhahiri katika maeneo mbalimbali ya vivutio katika Mji wa Chishui, Mkoa wa Guizhou, na shughuli za utalii zimeanza kufanyika katika hali ya motomoto. Miaka ya hivi karibuni, Mji wa Chishui imeendelea kuboresha miundombinu na vifaa vya shughuli za utalii, kutoa hatua kadhaa kusaidia ukuaji wa sekta ya utalii na kuwavutia watalii wengi kuja kutembelea, ambapo imehimiza kwa nguvu ufufukaji wa soko la utalii.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha