

Lugha Nyingine
China yafaulu kurusha satelaiti 16 zikiwemo satelaiti ya Jilin No.1 Gaofen 03D09 kwa mara moja (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2022
![]() |
Saa 6:50 mchana wa tarehe 10, Agosti kwa saa za Beijing, China ilifaulu kurusha satelaiti 16 zikiwemo satelaiti ya Jilin No.1 Gaofen 03D09, Yunyao No.1 04-08 kwa maroketi ya Yao No.10 ya Changzheng No.6 kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Taiyuan. Satelaiti hizo zimeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.
(Picha na CFP)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma