Zabibu zaongeza kipato cha wakulima wa Mile, Yunan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2022
Zabibu zaongeza kipato cha wakulima wa Mile, Yunan
Mkulima akivuna zabibu kwenye Shamba la Dongfeng la Mji wa Mile. (Picha ilipigwa tarehe 8, Agosti).

Siku hizi, mavuno ya zabibu ya Shamba la Dongfeng lenye eneo la hekta 1666.67 yanakaribia mwisho huko Mile, Mkoa wa Yunnan, China. Katika majira hayo ya mavuno, mazao ya zabibu yamefikia tani 50,000, na mauzo yao yamezidi Yuani milioni 250. Zabibu zinaongeza kipato cha wakazi wa Mji wa Mile.

Katika miaka ya karibuni iliyopita, Mji wa Mile umestawisha upandaji wa zabibu kwa kutegemea ubora wa hali ya hewa ya huko, na kuboresha teknolojia za upandaji zabibu chini ya msaada wa kampuni zinazoongoza sekta hiyo, ili kuwasaidia wakazai wa huko kuongeza kipato chao. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha