

Lugha Nyingine
Mpunga wakaribisha mavuno huko Pengshan, Sichuan (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2022
Juzijuzi, kwenye mashamba ya Eneo la Pengshan la Mji wa Meishan wa Mkoa wa Sichuan, mashine mbili zilipitana kwa kasi kwenye mashamba, zikifanya kazi ya kuvuna mpunga. Katika siku za karibuni, Eneo la Pengshan la Mji wa Meishan limepata mavuno makubwa ya mpunga. Mwaka huu, mashamba yaliyopandwa nafaka za majira ya joto l katika eneo hili yamefikia hekta 12439.55, zikiwemo hekta 9684.84 za mpunga na hekta 1694.18 za mahindi, na uzalishaji wa nafaka ya majira ya joto unakadiriwa kufikia tani 98,700.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma