

Lugha Nyingine
Mchezo wa dansi ya ballet kama waoneshwa kwenye anga ya mita zaidi ya 100 katika Mlima Daba
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2022
![]() |
Daraja Kubwa la Liaozite kwenye Barabara ya mwendo kasi ya Chengkou-Kaizhou likifanyiwa kazi ya kuunganishwa. (Picha na Kampuni ya Mshauri wa Mradi wa Kundi la Mwendokasi la Chongqing) |
Daraja Kubwa la Liaozite ambalo ni mradi muhimu wa kidhibiti kwenye Barabara ya mwendo kasi ya Chengkou-Kaizhou ya Chongqing lilifaulu kuunganishwa Agosti 29 jinsi lilivyo ni kama lilicheza dansi ya ballet kwenye anga ya mita zaidi ya 100.
Daraja Kubwa la Liaozite la Barabara ya mwendo kasi ya Chengkou-Kaizhou liko kwenye Kijiji cha Liaozi cha Wilaya ya Chengkou ambayo ni sehemu ya kiini cha Mlima Daba, na urefu wa daraja hilo ni mita 330.8.
Kwa kufahamishwa, urefu wa Barabara ya mwendo kasi ya Chengkou-Kaizhou ni kilomita 128.5, katika mwisho wa mwaka huu, barabara hiyo itafikia kwenye Wilaya ya Chengkou ya Mkoa wa Chongqing ambayo itakomesha historia ya kutokuwa na barabara ya mwendo kasi katika Wilaya ya Chengkou.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma