Milima ya miti inayostawi na mito ya maji safi yaonesha mazingira mazuri ya ikolojia ya Xiajiang, Jiangxi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2022
Milima ya miti inayostawi na mito ya maji safi yaonesha mazingira mazuri ya ikolojia ya Xiajiang, Jiangxi
Wasafishaji wakifanya doria kwenye ziwa (picha na droni). Mpiga picha: Chen Fuping

Siku hizi , wasafishaji walifanya doria kwenye maji katika eneo la Bwawa la Wanbao la Tarafa ya Jinjiang ya Wilaya ya Xiajiang ya Mji wa Ji’an mkoani Jiangxi.

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Xiajiang ya Mji wa Ji’an wa Mkoa wa Jiangxi ikifuata wazo la “kulinda kwanza mazingira ya ikolojia, na kuendeleza bila kuchafua mazingira”, imeimarisha ulinzi wa rasilimali za maji na ardhi oevu, kuboresha mazingira ya makazi ya watu na kuongeza uwezo wa kuhifadhi mazigira ya ikolojia, na kusukuma mbele maendeleo ya sambamba ya ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya ikolojia na ujenzi wa uchumi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha