Tamasha la 13 la China lafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022
Tamasha la 13 la China lafunguliwa Beijing
Tarehe Mosi, Septemba, wasanii wakionesha mchezo wa opera ya Beijing “kuongoza jeshi kwenda medani ya vita ” kwenye ufunguzi wa Tamasha la 13 la China.

Siku hiyo, Tamasha la 13 la China lilifunguliwa katika Jumba la Taifa la Maonesho ya Michezo ya Sanaa la Beijing. Katika kipindi cha tamasha hilo, yatafanyika maonesho ya michezo ya sanaa ya sehemu mbalimbali nchini China, ambapo pia yatafanyika maonesho matatu ya uchoraji, maandiko ya Kichina, uchongaji na upigaji picha na shughuli nyingine. (Mpiga picha: Chen Zhonghao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha