Wanafunzi wapata lepe kwenye viti vinavyoweza kubadilika huko Chongqing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2022
Wanafunzi wapata lepe kwenye viti vinavyoweza kubadilika huko Chongqing
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza akiinua meza ili kuitumia kwa kupata lepe wakati wa mapumziko ya mchana katika shule ya msingi ya Wilaya ya Yunyang ya Chongqing, China tarehe 6, Septemba, 2022. (Picha: China News Service/Tan Qiyun)

Wanafunzi wanaweza kupata lepe wakati wa mapumziko ya mchana kwa kupitia kuinuliwa kwa meza na kubadilisha viti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha