Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China yafanyika Xiamen, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2022
Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China yafanyika Xiamen, China
Watu wakitembelea Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China huko Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Septemba 8, 2022. Maonyesho hayo, yenye kaulimbiu isemayo "Maendeleo ya Dunia: Kushiriki Fursa za Kidigitali, Kuwekeza katika Wakati Ujao wa Kijani", yameanza Alhamisi mjini Xiamen. (Xinhua/Wei Peiquan)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha