Shule zarejesha masomo katika maeneo yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi huko Luding, Sichuan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2022
Shule zarejesha masomo katika maeneo yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi huko Luding, Sichuan
Walimu wakifundisha masomo katika Shule ya Msingi ya Kati ya Mji Mdogo wa Detuo, katika Wilaya ya Luding, Mkoa wa Sichuan, China, Septemba 14.

Septemba 14, shule 14 za msingi na chekechea zilirejesha kazi za kutoa masomo ana kwa ana na shule tatu nyingine za vitongoji vilivyoathiriwa na tetemeko la ardhi pia zilirejesha kazi za kufundisha masomo kwa utaratibu.

(Mpiga picha: Yin Heng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha