Mashindano ya kukaa kama gogo kando ya Mto Han yafanyika tena Korea Kusini baada ya miaka mitatu iliyopita

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2022
Mashindano ya kukaa kama gogo kando ya Mto Han yafanyika tena Korea Kusini baada ya miaka mitatu iliyopita

Mchana wa Tarehe 18, Septemba kwa saa za huko, Mashindano ya kukaa kama gogo kando ya Mto Han yalianzishwa tena nchini Korea Kusini baada ya miaka mitatu iliyopita. Gazeti la Chosun Ilbo liliripoti kwamba washiriki wakidumisha hali ya kukaa kama gogo kwa dakika 90 watakuwa washindi. Waandaji watapima mapigo ya moyo ya washiriki kila baada ya dakika 15, ambapo washiriki wanaosinzia au watakaokuwa na mapigo makali ya moyo wataondolewa. (Mpiga picha:Wan Jiaxin)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha