Kichanga wa Panda “An’an” azaliwa huko Qinling

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2022
Kichanga wa Panda “An’an” azaliwa huko Qinling
Kichanga wa kike wa panda “An’an” alizaliwa jana tarehe 19 katika Kituo cha Utafiti wa Panda cha Qinling cha Xi’an mkoani Shaanxi, uzito wa kichanga huyo ni gramu 132.8 na hali yake ya ukuaji ni nzuri. Picha hii ikionesha kichanga huyu. (Picha na Kituo cha Utafiti wa Panda cha Qinling )
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha