Picha: Eneo la Biashara Huria la Kimataifa la Djibouti

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 21, 2022
Picha: Eneo la Biashara Huria la Kimataifa la Djibouti
Picha iliyopigwa tarehe 15, Septemba ikionesha eneo la biashara huria la kimataifa la Djibouti.

Eneo la Biashara Huria la Kimataifa la Djibouti linawekezwa na kuendeshwa pamoja na Kundi la Biashara la China, Kundi la Bandari ya Dalian na kampuni nyingine za China. Eneo hilo lilizinduliwa mwaka 2018, na hadi hivi sasa kampuni zaidi 200 zimeanzisha ofisi zao kwenye eneo hilo. Kwa jumla eneo hilo lina kilomita za mraba 48.2, limeanzisha jukwaa la huduma za mtandaoni (SWP), jukwaa la maduka ya mtandaoni Djimart, na mistari ya usafirishaji wa kasi wa angani na baharini kati ya China na Afrika. Kodi zote zinafutwa ndani ya eneo hilo, na pia kutoa hali nafuu ya biashara na nchi za Umoja wa Ulaya, Marekani, na nchi za soko la pamoja la Afrika Mashariki na Kusini. (Picha/Liu Chang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha