China yafaulu kurusha satelaiti 03 ya Yunhai No.1

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 21, 2022
China yafaulu kurusha satelaiti 03 ya Yunhai No.1

Saa 1:15 asubuhi ya tarehe 21, Septemba, China ilifaulu kurusha satelaiti 03 ya Yunhai No.1 kutoka kwenye kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha