Mavuno ya Mpunga yapatikana Longnan, Gansu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2022
Mavuno ya Mpunga yapatikana Longnan, Gansu
Mwanakijiji akivuna mpunga kwenye eneo la Wudu, mji wa Longnan wa Mkoa wa Gansu, China.

Wakati wa majira ya mpukutiko, mavuno ya mpunga yamepatikana katika kando mbili za Mto Bailong wa Mji wa Longnan, Mkoa wa Gansu. (Picha zilipigwa na Ran Chuangchang/vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha