Kuchuma pamba huko Bozhou, Xinjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2022
Kuchuma pamba huko Bozhou, Xinjiang
Hivi sasa, pamba kwenye mashamba ya hekta 90,712 katika Mkoa unaojiendesha wa Bortala Mongol wa Xinjiang imeingia katika kipindi cha mavuno, na wakulima wanavuna pamba mpya kwa pilikapilika ili kwenda na wakati . (Picha na Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha