Upinde wa mvua waonesha katika Maporomoko ya Maji ya Hukou huko Shanxi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2022
Upinde wa mvua waonesha katika Maporomoko ya Maji ya Hukou huko Shanxi
Tarehe 22, Septemba, Mwaka 2022, upinde wa mvua ulionekana kwenye Maporomoko ya Maji ya Hukou katika Wilaya ya Ji ya Mji wa Linfen wa Mkoa wa Shanxi, ambao ulivutia watalii wengi kwenda kuutazama. (Picha na Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha