

Lugha Nyingine
Jukwaa kubwa la maua lenye maandiko ya “Heri na Baraka kwa Taifa” yaonekana kwenye Uwanja wa Tian An Men
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2022
Sikukuu ya Taifa la China inakaribia kuwadia, kikapu kikubwa cha maua chenye kimo cha mita 18 kikiwa na maneno ya “Heri na Baraka kwa Taifa” kimeonekana kwenye Uwanja wa Tian An Men.(Picha zilipigwa na Chen Zhonghao Septemba 25/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma