

Lugha Nyingine
Tufani kubwa ya Noru yasababisha vifo vya watu watano Philippines
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2022
![]() |
Picha hii iliyopigwa Septemba 26 ikionesha eneo lililoathiriwa na mafuriko katika Mkoa wa Bulacan, Philippines. |
Ofisa wa serikali ya Philippines alisema tarehe 26 kuwa tangu Tufani kubwa ya Noru ilipotokea nchini Philippines tarehe 25, imeleta mvua kubwa na upepo mkali katika maeneo mengi Kisiwani Luzon, na kusababisha vifo vya watu watano. (Mpiga Picha: Umali/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma