Mabaki ya kale ya Utamaduni ya China yaliyorejeshwa kutoka nchi za nje yaonekana Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 28, 2022
Mabaki ya kale ya Utamaduni ya China yaliyorejeshwa kutoka nchi za nje yaonekana Shanghai
Septemba 26, mtembeleaji akipiga picha ya Sanaa ya kichwa cha tumbili.

Septemba 26,“Kurejeshwa katika zama za ustawi : Maonesho ya Mabaki ya Kale ya Utamaduni yaliyorejeshwa kutoka nchi za nje ” yalifunguliwa katika Jumba la Makumbusho la Minhang mjini Shanghai, ambapo yamekusanyika kwa mabaki ya kale ya utamaduni 47 yanayotoka Jumba la Makumbusho la Sanaa la Poly na Ofisi ya Usimamizi ya Yuanmingyuan katika Eneo la Haidian, Beijing, yote ni sanaa murua zilizorejeshwa kutoka nchi za nje. Sanaa hizo zinazooneshwa kwenye maonyesho hayo, ni Sanaa za asili za shaba nyeusi pamoja na michongo ya vichwa vya ng'ombe, tiger, tumbili, nguruwe na mchongo nakili wa kichwa cha farasi ambayo ilihifadhiwa kwenye ukumbi wa Haiyan katika Bustani ya Yuanmingyuan, pamoja na hazina za ngazi ya kitaifa za vyombo vya shaba nyeusi za zama za kale.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha