

Lugha Nyingine
Mavuno ya nafaka za majira ya mpukutiko yamemalizika kwa nusu (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2022
Hali mpya ya kilimo kutoka Wizara ya Kilimo na Masuala ya Vijijini ya China inaonyesha kuwa hadi sasa, maeneo ya hetka milioni 4.482 za nafaka za majira ya mpukutiko zimevunwa, na kazi ya mavuno imemalizika kwa asilimia 51.5.
(Mpiga picha: Wang Kexian/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma