Barabara za Xinjiang zaongezeka kwa kilomita elfu 62.2 katika mwongo uliopita (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2022
Barabara za Xinjiang zaongezeka kwa kilomita elfu 62.2 katika mwongo uliopita
Picha iliyopigwa tarehe 17, Mei, 2021 ikionesha magari yakiendeshwa kwenye barabara ya kitaifa kati ya Mji wa Kashgar na Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan ya Xinjiang, China.

Habari zilizotolewa na ofisi ya mawasiliano na uchukuzi ya Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyrgu zimesema kuwa, tokea mwaka 2012, barabara za Xinjiang zimeongezeka kwa kilomita elfu 62.2, na urefu wa jumla wa barabara zake umefikia kilomita laki 2.17, barabara za lami zimepita miji yote na vijiji vyote vyenye hali inayofaa. (Picha zilipigwa na Hu Huhu/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha