Mji wa Karamay wa Xinjiang waingia kipindi cha pilikapilika cha kuchuma pamba (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2022
Mji wa Karamay wa Xinjiang waingia kipindi cha pilikapilika cha kuchuma pamba

Siku za hivi karibuni, Mji wa Karamay wa Xinjiang umeingia kipindi kilele cha kuchuma pamba, ambapo hali ya pilikapilika ya kuchuma pamba inaonekana kwenye mashamba. Mwaka 2022, eneo la upandaji wa pamba katika Mji wa Karamay, Xinjiang ni hekta 16341.5, na uzalishaji wa jumla unakadiriwa kufikia karibu tani 100,000. (Mpiga picha: Min Yong)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha