Kuingia kwenye Ghala la nafaka ya China na kuona namna China inavyohifadhi nafaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2022
Kuingia kwenye Ghala la nafaka ya China na kuona  namna China inavyohifadhi nafaka
Picha hii iliyopigwa Oktoba 11 ikionesha Ghala la Nafaka Akiba la Taifa la Changle. (Picha na droni)

Ghala la Nafaka Akiba la Taifa la Changle liko kwenye Eneo la Changle, Mji wa Fuzhou, Mkoa wa Fujian, lenye eneo la hekta 18, likiwa ni ghala la nafaka akiba linaloweza kuweka nafaka nyingi zaidi katika Mkoa wa Fujian. Katika miaka ya hivi karibuni, ghala hilo limejenga mfumo wa akili bandia wa kuhifadhi nafaka, kushikilia “kuhifadhi nafaka kwa usalama, kuhifadhi nafaka bila kuchafua mazingira, kuhifadhi nafaka kwa njia za kisayansi”, ambalo limesimamia nafaka kwa pande zote na kwa njia ya kisayansi ili kuhakikisha usalama wa chakula. (Mpiga picha:Zhou Yi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha