Mashamba yaliyoko kando za Mto Changjiang yaanza kuvunwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2022
Mashamba yaliyoko kando za Mto Changjiang yaanza kuvunwa
Oktoba 11, mashamba yaliyoko kando za Mto Changjiang katika Wilaya ya Xingang, Eneo la Fanchang, Mji wa Wuhu, Mkoa wa Anhui. (Picha na droni)

Wakati wa majira ya mpukutiko, katika Eneo la Fanchang la Mji wa Wuhu wa Mkoa wa Anhui, mashamba mengi ya mpunga yameanza kuvunwa huku wakulima wakivuna mpunga kwa pilikapika wakati hali ya hewa iko nzuri.

(Mpiga picha: Zhou Mu/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha