Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC wafika Beijing kutoka sehemu mbalimbali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2022
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC wafika Beijing kutoka sehemu mbalimbali nchini China
Tarehe 13, Oktoba, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 kutoka Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wakifika kituo cha treni cha kaskazini cha Beijing kwa kupanda treni ya mwendo kasi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha