Mahojiano kwa wajumbe wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2022
Mahojiano kwa wajumbe wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC
Kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo, wajumbe Zhu Youyong, Wang Yaping na Wu Dajing(kuanzia kushoto hadi kulia)wakihojiwa na waandishi wa habari.

Oktoba 16, Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ulifunguliwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.

 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha