Pilikapilika za kuchuma pamba Xinjiang (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2022
Pilikapilika za kuchuma pamba Xinjiang
Oktoba 22, wafanyakazi wakishughulikia pamba zilizonunuliwa hivi karibuni katika kiwanda cha kuchambulia pamba katika Mji wa Shawan wa Mkoa wa Xinjiang. (Mpiga picha: Sun Zhikun/Xinhua)

Katika majira ya mpukutiko, kituo kikubwa cha uzalishaji wa mapamba cha Xinjiang, China, kimeingia kwenye kipindi cha mavuno kwenye mashamba makubwa, huku mashine zikifanya kazi kwenye mashamba.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha