Magari yanayojiendesha ya kuuza vitu yaanza kufanya kazi kwenye eneo la viwanda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2022
Magari yanayojiendesha ya kuuza vitu yaanza kufanya kazi kwenye eneo la viwanda
Oktoba 27, gari linalojiendesha la kuuza vitu likifanya doria kwa kujiongoza kwenye eneo la viwanda maalum vya upimaji na ukaguzi katika Eneo Jipya la Xiangjiang la Mkoa wa Hunan.

Siku za hivi karibuni, magari kadhaa yanayojiendesha ya kuuza vitu yanajaribu kufanya kazi kwenye eneo la viwanda maalum vya upimaji na ukaguzi katika Eneo Jipya la Xiangjiang la Mkoa wa Hunan. Gari hilo linajiendesha kwa kufuatia njia iliyopangwa, kabati lake linaweza kuweka vinywaji, chakula n.k., pia linaweza kufanya kazi kama friji na kuwezesha kitu kuwa na joto, ambalo linaweza kuleta urahisi kwa mnunuzi bila kugusana kwa wafanyakazi katika eneo hilo. (Mpiga picha: Chen Zeguo/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha