Watu waomboleza vifo vilivyotokana na kukanyagana kwenye msongamano wa Halloween huko Seoul, Korea (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 02, 2022
Watu waomboleza vifo vilivyotokana na kukanyagana kwenye msongamano wa Halloween huko Seoul, Korea
Mwanamke akishika picha ya mtu aliyekufa kwenye tukio la kukanyagana katika mimbari ya maombolezo iliyowekwa Seoul Plaza huko Seoul, Korea Kusini, Novemba 1, 2022. (Xinhua/Wang Yiliang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha