Bustani ya asilia ya wanyama na mimea huko Muli, Sichuan (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2022
Bustani ya asilia ya wanyama na mimea huko Muli, Sichuan
Barabara inayopitisha Wilaya ya Muli. (Picha na Idara ya Uenezi ya Kamati ya Wilaya ya Muli )

Wilaya ya Muli iko kaskazini magharibi mwa jimbo linalojiendesha la kabila la wayi la mji wa Liangshan mkoani Sichuan, na eneo la misitu la wilaya hiyo linafikia asilimia 69.86, ambayo inasifiwa kuwa “hazina ya mazingira ya asili” na “bustani ya asilia ya wanyama na mimea”.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha