Maonesho ya 14 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari kwenye anga ya juu ya China yako tayari kufunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2022
Maonesho ya 14 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari kwenye anga ya juu ya China yako tayari kufunguliwa
Novemba 6, washiriki wakitembelea kwenye Maonesho ya usafiri wa ndege.

Maonesho ya 14 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari kwenye anga ya juu ya China yatafanyika kuanzia Novemba 8 hadi 13 katika Kituo cha Maonesho ya usafiri wa ndege cha mji wa Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, na kuonesha teknolojia ya kiwango cha juu na matokeo mapya ya sekta za usafiri wa ndege na safari kwenye anga ya juu na teknolojia ya ulinzi wa taifa.

(Mpiga picha: Lu Hanxin/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha