Teknolojia mpya za kilimo mahiri cha kisasa zaonyeshwa kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2022
Teknolojia mpya za kilimo mahiri cha kisasa zaonyeshwa kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE)
Muonyeshaji akielezea teknolojia ya kilimo kwa kuonyesha mandhari ya ufuatiliaji wa kituo cha upandaji miche kwa wakati halisi kwenye eneo la maonesho ya chakula na bidhaa za kilimo la Maonesho ya Tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 7, 2022.

Kampuni ya miche imeonyesha mboga zinazokua kwenye rafu ili kuonyesha teknolojia mpya ya kilimo mahiri cha kisasa kwenye Maonesho ya Tano ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) huko Shanghai. (Xinhua/Liu Ying)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha