Mashindano ya Sarakasi ya China yafanyika Henan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 14, 2022
Mashindano ya Sarakasi ya China yafanyika Henan

Picha zikionesha wanasarakasi wakicheza kwenye mashindano ya 11 ya sarakasi ya Tuzo ya Jinjuhua ya China yaliyofanyika huko Puyang, Mkoa wa Henan wa China tarehe 9, Novemba, 2022. Tuzo hiyo inajulikana ni ya juu zaidi kwa mchezo wa sarakasi wa China. (Xinhua/Xu Jiaoyi)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha