Mandhari nzuri ya Kisiwa cha Bali, Indonesia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2022
Mandhari nzuri ya Kisiwa cha Bali, Indonesia

Mkutano wa 17 wa kilele wa Kundi la Nchi 20 (G20) unafanyika kuanzia Tarehe 15 hadi 16 katika Kisiwa cha Bali, Indonesia. Picha hizi zilipigwa na waandishi wa Habari wa Tovuti ya Gazeti la Umma, zikionesha mandhari nzuri ya Kisiwa cha Bali.(Mpiga picha: Zhong Wenxing)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha